Mwana wa Handeni

Mwana wa Handeni
Handeni District Council has earmarked a number of specific types and areas for investment based on a study conducted by a consultant. These are in fruit growing, vegetable farming, dairying, sheep rearing, rubber production, honey production and processing, small-scale mining, cultural tourism, tourist hotel development and marketing.

Monday, November 28, 2011

TATIZO LA MAJI

Maji yamekuwa ni tatizo sugu katika wilaya ya handeni na hakuna mbinu mbadala zilizo fanywa kutatua tatizo hilo,hii inaonyesha ni jinsi gani viongozi wa handeni utendaji wao ulivyokuwa duchu.Wewe kama umepewa dhamana ya kuwa kiongozi basi hunabudi kutimiza matakwa ya kazi yako na wala sio kujali tumbo lako.Inafahamika kuwa wanawake wengi wa Handeni wanapoteza muda mwingi katika tutafuta majikwaajili ya matumizi ya kilasiku,shughuli nyigi za kimaendelo zimelala katika wilaya yetu kutokana na tatizo la maji.wahenga walisema ukiona aliye mbeleyenu amelala inabidi mumuamshe ili ajue kuwa kuna hatua anatakiwa apige ndio wanyuma yake wasogee.

blog ya wazalendo

Blog hii imetengenezwa ili kuwafanya wana handeni kujua nini kinaendelea kwao na nini kifanyike ili kukuza maendeleo ya Handeni

Popular Posts

Followers

handeni view

Handeni District Slideshow: Me’s trip from Tanzania to 2 cities Tanga and Dodoma was created by TripAdvisor. See another Tanzania slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.

people and events in Handeni district

Salehe Slides Slideshow: Watu’s trip to Tanga, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Tanga slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.