Handeni is one of the eight districts of Tanga Region in Tanzania. It is bordered to the west by the Kilindi District, to the north by the Korogwe District, to the east by the Pangani District, and to the south by the Pwani Region. It split in 2002 to form the Kilindi District.The Handeni District is administratively divided into 11 divisions, 21 wards and 124 Villages.
Mwana wa Handeni

Handeni District Council has earmarked a number of specific types and areas for investment based on a study conducted by a consultant. These are in fruit growing, vegetable farming, dairying, sheep rearing, rubber production, honey production and processing, small-scale mining, cultural tourism, tourist hotel development and marketing.
Wednesday, December 28, 2011
NEW YEAR 2012
Mwaka mpya unakaribia,hatunabudi kumshikuru mungu kwa kutuweka hai mpaka muda huu wa mwisho wa mwaka 2011, kwani kuna wenzetu hawakufanikiwa hata kuiona siku ya x-mas ,mungu awalaze mahali pema peponi,Nimengi tumefanya ndani ya mwaka huu ikiwemo yenye manufaa na yasiyo na manufaa.hivyobasi kama kuna ambalo lilikukwaza rohoni hunabudi kulitohoa mwaka 2012 maana tunategemea kuwa mwaka mpya uwe na mawazo mapya na si kung'ang'ania uzamani.
Friday, December 23, 2011
X-MASS
WISHING YOU MARRY X-MASS AND HAPPY NEW YEAR FOR ALL HANDENI COMMUNITY
Friday, December 16, 2011
HONGERA RAMANDANI ABDI
Hongera kijana wetu kwa kushika nafasi ya pili katika mtihani wa darasa la saba ndani ya mkoa wa tanga,umetutoa aibu kijana.
Wednesday, December 7, 2011
KILINDI UNIVERSITY STUDENTS,suggested by salim lugendo
Wanafunzi wote wanaosoma elimu ya juu katika vyuo vyetu vya tanzania ambao wametokea wilaya ya kilindi wanatakiwa kuwasiliana na SALUM LUGENDO ili wapate mpya inyohusu KUSO ,Mawasiliano piga +255717487411.
Monday, November 28, 2011
TATIZO LA MAJI
Maji yamekuwa ni tatizo sugu katika wilaya ya handeni na hakuna mbinu mbadala zilizo fanywa kutatua tatizo hilo,hii inaonyesha ni jinsi gani viongozi wa handeni utendaji wao ulivyokuwa duchu.Wewe kama umepewa dhamana ya kuwa kiongozi basi hunabudi kutimiza matakwa ya kazi yako na wala sio kujali tumbo lako.Inafahamika kuwa wanawake wengi wa Handeni wanapoteza muda mwingi katika tutafuta majikwaajili ya matumizi ya kilasiku,shughuli nyigi za kimaendelo zimelala katika wilaya yetu kutokana na tatizo la maji.wahenga walisema ukiona aliye mbeleyenu amelala inabidi mumuamshe ili ajue kuwa kuna hatua anatakiwa apige ndio wanyuma yake wasogee.
Saturday, November 12, 2011
GRADUATE CEREMON INVITED BY MUSSA MAJILI .
Mr mussa majili anafurahi kuwafahamisha ndugu na jamaa kuwa mahafari ya kuhitimu shahada yake ya kwanza yatafanyika tarehe 26 november 2011 katika chuo kikuu cha dodoma ( UDOM),wote mnakaribishwa kuhudhuria mahafari hayo.
Blogu ya Watu na matukio ya Mzee wa Bonde: NGOMA YA UFUNGILO HANDENI
Blogu ya Watu na matukio ya Mzee wa Bonde: NGOMA YA UFUNGILO HANDENI: ADAM ATHUMANI MGANGA MPIGA NGOMA YA UFUNGILO INAYOASHIRIA KUANZA KWA BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI, MGANGA ALIANZ...
SAUMU SHABAN SEEKING PRIMARY DATA ABOUT SHORTAGE OF WATER IN HANDENI
Nina mpango wa kufanya research yangu inayohusu matatizo ya maji yanayowakabili wananchi wa handeni pamoja na milipuko ya magonjwa yanayohusiana na shortage ya maji hivyo basi naomba mnisaidie juu ya vyanzo vya maji kwani sivijui na ninatakiwa niangalie kama quantity ya maji inafullfill mahitaji ya wananchi na ubora wa maji hayo, naomba mnisaidie kama mnavijua wadau
Friday, November 11, 2011
TAARIFA KWA WANAHANDENI
Habari za kwenu wana wa kwetu,tunawakaribisha kwenye blog yetu mpya ya wana handeni,lengo la blog hii ni kutukutanisha pamoja wana wa kaya tulio potezana na ambao tuko nje ya mipaka ya handeni ambao hatuja fahamiana. wote mnakaribishwa
Subscribe to:
Comments (Atom)
blog ya wazalendo
Blog hii imetengenezwa ili kuwafanya wana handeni kujua nini kinaendelea kwao na nini kifanyike ili kukuza maendeleo ya Handeni
Popular Posts
-
Blogu ya Watu na matukio ya Mzee wa Bonde: NGOMA YA UFUNGILO HANDENI : ADAM ATHUMANI MGANGA MPIGA NGOMA YA UFUNGILO INAYOASHIRIA KUANZA KWA ...
-
Mr mussa majili anafurahi kuwafahamisha ndugu na jamaa kuwa mahafari ya kuhitimu shahada yake ya kwanza yatafanyika tarehe 26 november 2011 ...
-
Nina mpango wa kufanya research yangu inayohusu matatizo ya maji yanayowakabili wananchi wa handeni pamoja na milipuko ya magonjwa yanayohus...
-
NEW ! Wanafunzi wote wanaosoma elimu ya juu katika vyuo vyetu vya tanzania ambao wametokea wilaya ya kilindi wanatakiwa kuwasiliana na SA...
-
Habari za kwenu wana wa kwetu,tunawakaribisha kwenye blog yetu mpya ya wana handeni,lengo la blog hii ni kutukutanisha pamoja wana wa kaya t...
-
Maji yamekuwa ni tatizo sugu katika wilaya ya handeni na hakuna mbinu mbadala zilizo fanywa kutatua tatizo hilo,hii inaonyesha ni jinsi gani...
-
Mwaka mpya unakaribia,hatunabudi kumshikuru mungu kwa kutuweka hai mpaka muda huu wa mwisho wa mwaka 2011, kwani kuna wenzetu hawakufanikiwa...
-
NEW!NEW!NEW!!!!! WISHING YOU MARRY X-MASS AND HAPPY NEW YEAR FOR ALL HANDENI COMMUNITY
-
new!!!!! Hongera kijana wetu kwa kushika nafasi ya pili katika mtihani wa darasa la saba ndani ya mkoa wa tanga,umetutoa aibu kijana.
Followers
handeni view
Handeni District Slideshow: Me’s trip from Tanzania to 2 cities Tanga and Dodoma was created by TripAdvisor. See another Tanzania slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.
people and events in Handeni district
Salehe Slides Slideshow: Watu’s trip to Tanga, Tanzania was created by TripAdvisor. See another Tanga slideshow. Take your travel photos and make a slideshow for free.